Wakati mwingine akili zetu huchoka na hufika kipindi zinahitaji neema na msaada wa Mungu
hivyo Mungu akikufundisha vita huwa vyepesi sana katika maisha yetu EE Yesu tufundishe