TENGENEZAJI WA SABUNI ZA MICHE A)MAHITAJI:- Kostik soda ya unga au ya mabonge Maji safi Mafuta ya mise/pamba/nazi/mawese n.k Rangi ya kutengenezea sabuni za miche(blue/pink/kijani n.k Marashi upendayo lemon/apple n.k Tanbihi:kama unata kutengeneza sabuni za tiba(virutubisho)utahitaji kuwa na kirutubisho unacho taka kutumia kwa mf:Aloe Vera/Ubuyu/Papai/Mwarobaini n.k Box la kutengenezea sabuni na vibao vya kukatia sabuni vyenye ukubwa wa mche wa sabuni. Ndoo kubwa za maji angalau 3 na ndoo ndogo 3,conduse ya plastiki kwa ajili ya kukorogea.Sodium Siliket,magadi soda,Hydrometa nzito pamoja na meza ya kukatia sabuni. Kanuni:-kostik kg 1 Maji lita 3 Mafuta lita 6 Sodium siliket grm 500 Magadi soda vijiko vikubwa vya chakula 10 Rangi kijiko 1 cha chakula Pia utahitaji eneola kufanyia kazi pamoja na rasilimali watu angalau wawili. Loweka kostik soda kwa masaa 24,kasha ikoroge na uipime nguvu yake kwa kutumia hydrometa iwe bomee 25-30bm Ikiwa imezidi bm 30 haifai kwa matumizi ya binadamu ipunguze nguvu kwakuongeza maji kiasi na upime tena,chukua ndoo ndogo ya maji na uweke mafuta,soda ash,sodium siliket,manukato na uchukue mafuta kidogo uweke kwenye spray(kiasi cha nusu lita)na uchananye na rangi au virutubisho na ukoroge vizuri baada ya kukoroga vizuri changanya na kostik soda koroga tena mpaka ichanganyike vizuri weka nailoni laini kwenye box kuzuia mchanganyo wa sabuni kumwagika(kuvuja)anza kupulizia rangi kwenye box na endeleakumimina mkorogo(mchanganyo wa sabunikidogo kidogo huku ukiendelea kupulizia rangi kwa awamu mpaka mwisho mwisho weka contena la sabuni(box)kwenye sehemu nzuri ambapo ardhi imenyooka na usubiri kwa masaa 24 bonge la sabuni litakuwa tayari kukatwa na ili sabuni ikauke vizuro anika chini kwenye sakafu lakini tanguliza magazeti na chumba kisiwe chenye kuingiza mwanga wa jua.
1 Comments
Jifunze Kutengeneza Sabuni Ya Kipande - Tunadizaini Logo ,Lebo Nk >>>>> Download Now
ReplyDelete>>>>> Download Full
Jifunze Kutengeneza Sabuni Ya Kipande - Tunadizaini Logo ,Lebo Nk >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Jifunze Kutengeneza Sabuni Ya Kipande - Tunadizaini Logo ,Lebo Nk >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK