Ticker

6/recent/ticker-posts

JINSI YA KUPIKA DOUGHNUT / HOW TO COOK DOUGHNUT

May be an image of dessert

JINSI YA KUPIKA DOUGHNUT
♦️MAHITAJI
👉 Unga wa ngano kilo 1
👉 Mafuta ya kupikia lita 1
👉 Sukari ilosagwa robo kilo
👉 Siagi
👉 Hamira
👉 Maziwa robo lita
👉 Mdalasini ulosagwa
👉 Mayai 3
👉 Baking powder kijiko 1 kikubwa
No photo description available. 
 
JINSI YA KUPIKA DONAT
1. Changanya unga na baking powder pamoja na siagi hadi unga uchanganyike tia sukari kidogo, kungumanga na yai kisha endelea kuchanganya unga.
2. Weka maziwa na kanda mpaka upate donge laini tengeneza madonge, uanze kusukuma unga kiasi cha sentimeta moja. Usiwe mwembamba sana kama wa chapati.
3. Kata duara kwa glasi au kikombe kisha kata duara lingine dogo katikati kwa kutumia kifuniko cha chupa ya maji au kitu chochote chenye duara dogo, upate shepu ya ringi.
4. Bandika mafuta jikoni, yakipata moto tia donats uzikaange mpaka ziwe na rangi nzuri ndipo uzitoe

 

Post a Comment

0 Comments